Musichoke midomoni muyasemo sijali
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
Musichoke midomoni muyasemo sijali
Nikonayo mikononi daima tuko wawili
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali
Mtuyatakao wendani hayotakuwa asili
Mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali
Mtuyatakao wendani hayotakuwa asili
Tupamoja maishanitumeshikana kikweli
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Jamani wivu mwaona mi silali pekee yangu
Mumezidi kusonona mumuudhika wenzangu
Raha ninazoziona anipa mpezi wangu
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Hata mkafanya nini nimuhali kuthana
Usiingie mbioni hatushiki fitina
Hata mkafanya nini nimuhali kuthana
Usiingie mbioni hatushiki fitina
Tupamoja maishani daima tunapendana
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
Musichoke midomoni muyasemo sijali
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
Musichoke midomoni muyasemo sijali
Nikonayo mikononi daima tuko wawili
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
Mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi
Jamaa... Wape wape vidonge vyao
Wakimeza wakitema nishauriyao
Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli Musichoke midomoni muyasemo sijali Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli Musichoke midomoni muyasemo sijali Nikonayo mikononi daima tuko wawili Jamaa... Wape wape vidonge vyao Wakimeza wakitema nishauriyao Mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali Mtuyatakao wendani hayotakuwa asili Mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali Mtuyatakao wendani hayotakuwa asili Tupamoja maishanitumeshikana kikweli Jamaa... Wape wape vidonge vyao Wakimeza wakitema nishauriyao Jamani wivu mwaona mi silali pekee yangu Mumezidi kusonona mumuudhika wenzangu Raha ninazoziona anipa mpezi wangu Jamaa... Wape wape vidonge vyao Wakimeza wakitema nishauriyao Hata mkafanya nini nimuhali kuthana Usiingie mbioni hatushiki fitina Hata mkafanya nini nimuhali kuthana Usiingie mbioni hatushiki fitina Tupamoja maishani daima tunapendana Jamaa... Wape wape vidonge vyao Wakimeza wakitema nishauriyao Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi Mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi Jamaa... Wape wape vidonge vyao Wakimeza wakitema nishauriyao Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli Musichoke midomoni muyasemo sijali Mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli Musichoke midomoni muyasemo sijali Nikonayo mikononi daima tuko wawili Jamaa... Wape wape vidonge vyao Wakimeza wakitema nishauriyao Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi Mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi Mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi Mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi Jamaa... Wape wape vidonge vyao Wakimeza wakitema nishauriyao Explain Request ×
Lyrics taken from
/lyrics/m/malika/wape_wape.html