Nataka Dolla lyrics by Malika - original song full text. Official Nataka Dolla lyrics, 2025 version | LyricsMode.com
Request & respond explanations
  • Don't understand the meaning of the song?
  • Highlight lyrics and request an explanation.
  • Click on highlighted lyrics to explain.
Malika – Nataka Dolla lyrics
Nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo wangu
Nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo wangu
Wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu
Wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu
Wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu
Wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu
Kupoza hasira zangu

Chorus:
Nataka Dolla, Nataka Paundi, Naitaka Dinar
Nataka dushman, amadhara amar am yal uman

Waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani
Waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani
Nipate funasihika, nakusihi iwathekani
Nipate funasihika, nakusihi iwathekani
Niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini
Niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini
Kunipa hutonikhini

[Chorus:]

Kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo
Kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo
Wataka nisafi nia moyoni ishe mivundo
Wataka nisafi nia moyoni ishe mivundo
Ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo
Ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo
Na saha ya langu pendo

[Chorus:]

Nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini
Nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini
Niseme nikitakacho, kunipa umekubali
Niseme nikitakacho, kunipa umekubali
Sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli
Sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli
Iwapo wanipa kweli

[Chorus:]

Kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike
Kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike
Ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike
Ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike
Moyo wangu uwe radhi, hasira zimalizike
Moyo wangu uwe radhi, hasira zimalizike
Hasira zimalizike

[Chorus:]
×

Nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo wangu Nasahau ziletazo, ziletazo, ziletazo, kusihi moyo wangu Wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu Wataraji maelezo, niseme ridhaa yangu Wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu Wataka kunipa tuzo, kupoza hasira zangu Kupoza hasira zangu Chorus: Nataka Dolla, Nataka Paundi, Naitaka Dinar Nataka dushman, amadhara amar am yal uman Waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani Waniomba kuridhika, kuridhika, kuridhika, iliniwe furahani Nipate funasihika, nakusihi iwathekani Nipate funasihika, nakusihi iwathekani Niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini Niseme ninachotaka, kunipa hutonikhini Kunipa hutonikhini [Chorus:] Kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo Kwa ulicho nitendea, nitendea, nitendea cha mamu dhiko kitendo Wataka nisafi nia moyoni ishe mivundo Wataka nisafi nia moyoni ishe mivundo Ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo Ridhaa kuniletea na saha ya langu pendo Na saha ya langu pendo [Chorus:] Nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini Nitaguwe nipendacho, nipendacho, nipendacho tatuzo ilo jamini Niseme nikitakacho, kunipa umekubali Niseme nikitakacho, kunipa umekubali Sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli Sina zaidi ya hicho iwapo wanipa kweli Iwapo wanipa kweli [Chorus:] Kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike Kwa hayo yaloniudhi, yaloniudhi, yaloniudhi twaomba ninasihike Ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike Ni hicho cha kuniridhi, na fusi ifurahike Moyo wangu uwe radhi, hasira zimalizike Moyo wangu uwe radhi, hasira zimalizike Hasira zimalizike [Chorus:] Explain Request ×



Lyrics taken from /lyrics/m/malika/nataka_dolla.html

  • Email
  • Correct
0
Submitted by qarahiyo

Nataka Dolla meanings

Write about your feelings and thoughts about Nataka Dolla

Know what this song is about? Does it mean anything special hidden between the lines to you? Share your meaning with community, make it interesting and valuable. Make sure you've read our simple tips.
U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

Post meanings

U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

official video

Swahili Taarab Bi Malika NATAKA DOLLAR

Featured lyrics

0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z