Shawty lyrics by Wudz - original song full text. Official Shawty lyrics, 2025 version | LyricsMode.com
Request & respond explanations
  • Don't understand the meaning of the song?
  • Highlight lyrics and request an explanation.
  • Click on highlighted lyrics to explain.
Wudz – Shawty lyrics
Najua ushanimezea
But ni kitu nishazoea
So kabla ubonge juu ya ndoa
Eti unataka kunioa
Tulia kiasi
Jipe nafasi
Cuz mi ni ule boy rui
Kuchezea mabinti kama toy
Kina Monica, Wangeci na Joy
Si shore akijipa manze enjoy
Sijasema mi ni player but siko ready for love
Ganji on daily basis
Kupiga show for my fans
Is my fancy plus
Si unaelewa hii lifestyle venye iko na kiburi
Waliojiachilia mapema saa hii wako kwa kaburi
Waliogundua mapema saa hii ni rozari na zaburi
So please ka umenifeel for real subiri
Labda kuna mazuri:

Chorus;
Shawty najua umefall nami
Text kibao ngware hadi jioni
Kuconfess vile wanitamani
Eti life bila G hauoni x2

We ni msupa for sure
Naeza kupeleka show
Just to show you off
Najua hujanipenda for doo
Eti out kila saa na credo
Mtoto mzuri hata Nonini atatestify
Hiyo smile, hizo eyes
Mtoto shy
Mwili moja wazimu
Sauti tamu kwa simu
Pia umechop
From ya Gucci shoes to ya Gucci top
Kila kitu kinasema class
In my heart kwa kweli umepata gate pass
But naogopa kukutumia vibaya
Kama mwanafunzi na kaya
Kisha nikudump kama rubbish kando ya streets
Ah ah, kabla unipe yo first kiss
Pliz consider this:

Sijui ulitoa wapi namba yangu ya simu
Kunipigia saa sita usiku
Niko like 'Nani huyu? Nkt, wazimu'
Siku ya pili friend request FB
Twitter ushafollow me
Siku ya tatu tuko club
Uko na mahangre za kunishow love
Kuniangalia ndani ya macho
Ooops! Kumbe mtoto ni vajo
Muda kidogo manzi yangu akatokea
Haukushtuka, ulimgotea na kudisappear
Still the following day
Ulininvite kwa bash yako
Kudance the night away
Ulisema penzi lako si vako
Naskia kuchanganyikiwa wewe
Kama kawaida ningekuwa nishapita na wewe
But kuna kitu rohoni beiby
Sijui ni nini but sina haraka na wewe
Sina haraka na wewe

Baby girl take it slow
Wengi wamekam wamego
Sitaki kukuvunja roho
Kama wanipenda basi chill kidogo
×

Najua ushanimezea But ni kitu nishazoea So kabla ubonge juu ya ndoa Eti unataka kunioa Tulia kiasi Jipe nafasi Cuz mi ni ule boy rui Kuchezea mabinti kama toy Kina Monica, Wangeci na Joy Si shore akijipa manze enjoy Sijasema mi ni player but siko ready for love Ganji on daily basis Kupiga show for my fans Is my fancy plus Si unaelewa hii lifestyle venye iko na kiburi Waliojiachilia mapema saa hii wako kwa kaburi Waliogundua mapema saa hii ni rozari na zaburi So please ka umenifeel for real subiri Labda kuna mazuri: Chorus; Shawty najua umefall nami Text kibao ngware hadi jioni Kuconfess vile wanitamani Eti life bila G hauoni x2 We ni msupa for sure Naeza kupeleka show Just to show you off Najua hujanipenda for doo Eti out kila saa na credo Mtoto mzuri hata Nonini atatestify Hiyo smile, hizo eyes Mtoto shy Mwili moja wazimu Sauti tamu kwa simu Pia umechop From ya Gucci shoes to ya Gucci top Kila kitu kinasema class In my heart kwa kweli umepata gate pass But naogopa kukutumia vibaya Kama mwanafunzi na kaya Kisha nikudump kama rubbish kando ya streets Ah ah, kabla unipe yo first kiss Pliz consider this: Sijui ulitoa wapi namba yangu ya simu Kunipigia saa sita usiku Niko like 'Nani huyu? Nkt, wazimu' Siku ya pili friend request FB Twitter ushafollow me Siku ya tatu tuko club Uko na mahangre za kunishow love Kuniangalia ndani ya macho Ooops! Kumbe mtoto ni vajo Muda kidogo manzi yangu akatokea Haukushtuka, ulimgotea na kudisappear Still the following day Ulininvite kwa bash yako Kudance the night away Ulisema penzi lako si vako Naskia kuchanganyikiwa wewe Kama kawaida ningekuwa nishapita na wewe But kuna kitu rohoni beiby Sijui ni nini but sina haraka na wewe Sina haraka na wewe Baby girl take it slow Wengi wamekam wamego Sitaki kukuvunja roho Kama wanipenda basi chill kidogo Explain Request ×



Lyrics taken from /lyrics/w/wudz/shawty.html

  • Email
  • Correct
0

Shawty meanings

Write about your feelings and thoughts about Shawty

Know what this song is about? Does it mean anything special hidden between the lines to you? Share your meaning with community, make it interesting and valuable. Make sure you've read our simple tips.
U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

Post meanings

U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

official video

Get UM

Featured lyrics

0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z