Naiye lyrics by Wiista - original song full text. Official Naiye lyrics, 2025 version | LyricsMode.com
Request & respond explanations
  • Don't understand the meaning of the song?
  • Highlight lyrics and request an explanation.
  • Click on highlighted lyrics to explain.
Wiista – Naiye lyrics
Mmmh, Elly da bway on the beat*2

Chorus:

NAIYE bila we sina raha,
NAIYE bila we ni karaha,
Urefu wako wa shingo,
Mwendo wa maringo,
Usiniache single,
Ukawafata wenye bingo,
NAIYEEE mama nitaumia moyo, mimiii aaaa

Verse;

Roho yako ya bahati,
Na upole wa farasi,
Jicho lako la samaki,
Kamwe hawakupati,
Sweety kiuno chako kama dondora,
Nalia na nafsi yangu namwomba mola,
Mpole na mwenye heshima my love,
Nishakupa moyo wote you know,
Penzi lako ni la dhati,
Na halina masharti,
Limenivaa kama shati,
Kamwe hawakupati

Chorus:

NAIYE bila we sina raha,
NAIYE bila we ni karaha,
Urefu wako wa shingo,
Mwendo wako maringo,
Usiniache single,
Ukawafata wenye bingo,
NAIYE mama nitaumia moyo, mmiiii aaaa

Verse 2:

Gubika gubua, we ndo wa ndoa,
Pika pakua lazima nitakuoa,
Nakusaka saka saka sikuoni,
Eti kumbe uko hapa, embu wacha utaani,
Unavyodeka deka deka deka kifuani,
Unanifurahisha rohoni,
Gubika gubua we ndo wa ndoa,
Pika pakua lazima nitakuoa

Chorus:

NAIYE bila we sina raha,
NAIYE bila we ni karaha,
Urefu wako wa shingo,
Mwendo wa maringo,
Usiniache single,
Ukawafata wenye bingo,
NAIYE mama nitaumia moyo, miii aaaa

BRIDGE:

Baby here they and they go,
And you are the only my girl,
You put me on top of the world,
You making me feel like i own it all (you are my lover eeh*2)

Chorus:

NAIYE bila we sina raha,
NAIYE bila we ni karaha,
Urefu wako wa shingo,
Mwendo wa maringo,
Usiniache single,
Ukawafata wenye bingo,
NAIYE mama nitaumia moyo, mimiii aaaa*2

Outro:

Yoh, Its your boy Wiista,
I love you girl, i love you,
I had to do it for you, My Loove, NAIYEE
×



Lyrics taken from /lyrics/w/wiista/naiye.html

  • Email
  • Correct

Naiye meanings

Write about your feelings and thoughts about Naiye

Know what this song is about? Does it mean anything special hidden between the lines to you? Share your meaning with community, make it interesting and valuable. Make sure you've read our simple tips.
U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

Post meanings

U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

official video

0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z