Mwanzo Na Mwisho lyrics by Kanji Mbugua - original song full text. Official Mwanzo Na Mwisho lyrics, 2025 version | LyricsMode.com
Request & respond explanations
  • Don't understand the meaning of the song?
  • Highlight lyrics and request an explanation.
  • Click on highlighted lyrics to explain.
Kanji Mbugua – Mwanzo Na Mwisho lyrics
[Verse]
Nilidhani nitaangamia tabu zilinizidi
Katika masononeko nikamlilia Bwana
Kwani ngome tumaini ni mwamba wa wokovu

[Bridge]
Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Bridge]
Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah
Transpose to Key of F

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah
×



Lyrics taken from /lyrics/k/kanji_mbugua/mwanzo_na_mwisho.html

  • Email
  • Correct

Mwanzo Na Mwisho meanings

Write about your feelings and thoughts about Mwanzo Na Mwisho

Know what this song is about? Does it mean anything special hidden between the lines to you? Share your meaning with community, make it interesting and valuable. Make sure you've read our simple tips.
U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

Post meanings

U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

official video

0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z