Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Chorus:
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
2.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Chorus:
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco
1. Mungu ibariki Africa Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake. Chorus: Ibariki Afrika Ibariki Afrika Tubariki watoto wa Afrika. 2. Mungu ibariki Tanzania Dumisha uhuru na Umoja Wake kwa Waume na Watoto Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Chorus: Ibariki Tanzania Ibariki Tanzania Tubariki watoto wa Tanzania. Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco Explain Request ×
Lyrics taken from
/lyrics/n/national_anthem/tanzania_native_anthem_text.html